Serikali ilifikirie Soka la Vijana - Shime Kocha wa Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania Serengeti Boys Bakary Shime ameitaka Serikali kujali michezo kwa vijana ili kuwapa nguvu vijana wanapokuwa katika mashindano mbalimbali ya ndani na nje ya nchi. Read more about Serikali ilifikirie Soka la Vijana - Shime