Tutamaliza tatizo la madawati kwa wakati-Galawa Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa. Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu, Chiku Galawa, ameuhakikishia umma kuwa tatizo la uhaba wa dawati kwenye halmashauri zilizopo mkoani kwake litamalizika ifikapo Juni 30. Read more about Tutamaliza tatizo la madawati kwa wakati-Galawa