Kiwanda cha sigara kujengwa Tabora- Mwijage
Mbunge wa Tabora Mjini Emmanuel Mwakasaka amehoji bungeni juu ya kutokuwepo kwa kiwanda cha sigara katika Mkoa wa Tabora pamoja na jitihada za wananchi kulima sana zao la tumbaku na kuliingizia taifa mapato.