"Sina ndoto ya kuwa mwanasiasa" - Black Rhino Msanii Black Rhino amesema hana mpango wa kufuata nyao za kaka yake Profesa Jay za kuwa mwanasiasa, kwana hajawahi kuwa na ndoto ya kuwa mwanasiasa. Read more about "Sina ndoto ya kuwa mwanasiasa" - Black Rhino