Kiwango changu kitaisaidia timu Angola - Cannavaro
Nahodha wa Mabingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara Yanga Nadir Cannavaro amesema, bado yupo katika kiwango kizuri katika soka na anaamini atakisaidia kikosi chake kuweza kufanya vizuri katika mchezo wa marudiano dhidi ya Sagrada Esperanca.