Kipindupindu cha dumu kwa miezi 7 nchini
Ugonjwa wa Kipindupindu umeendelea kupoteza uhai wa watanzania kwa muda wa miezi 7 sasa bila kudhibitiwa ambapo kwa mwezi huu idadi ya waathirika wapya wa ugonjwa huo wamefikia watu 212 kwa nchi nzima, tayari watu 338 wamepoteza maisha tangu mlipuko.