Ubingwa umetuongezea morali-Haruna Niyonzima Kiungo wa Kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima. Kiungo wa Kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima amesema baada ya kubeba ubingwa wa Ligi ya Vodacom kazi kubwa iliyopo mbele yao ni fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Read more about Ubingwa umetuongezea morali-Haruna Niyonzima