Siongezi mkataba Arsenal - Wenger Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema hataongeza mkataba na klabu hiyo mpaka mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu ujao na kuona upepo unaendaje. Read more about Siongezi mkataba Arsenal - Wenger