Marufuku kutengeneza madawati ya mabanzi-Mwanri
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri, amepiga marufuku utengenezaji wa madawati kwa kutumia mabaki ya mbao na kuonya kuwa mzabuni yoyote atakaye tengeneza mdawati chini ya kiwango hatalipwa fedha zake.