Nchemba kuongoza vigogo utoaji zawadi VPL kesho.

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba.

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba kesho Jumamosi Mei 14 mwaka huu ataongoza vigogo wa taasisi tofauti katika zoezi la utoaji wa zawadi mbalimbali za washindi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu wa 2015/2016.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS