Farid Musa awaletea Azam fc Makocha Wakihispania.
Kufanya vema kwa mashambuliaji kinda wa timu ya Azam FC Farid Musa ambaye anafanya majaribio nchini Hispania imekuwa kama neema ama imefungua milango kwa Azam fc kupata makocha kirahisi kutoka nchini humo ambao wametua rasmi hii leo kukamilisha dili.