Dkt. Magufuli: Ujenzi wa bomba la mafuta kuanza
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mazungumzio na Rais Yoweri Museveni wa Uganda kuhusu kuanza kwa ujenzi wa bomba la mafuta Kutoka jijini Tanga mara baada ya kuapishwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa muhula mwingine .