Simba yashtukia mchezo mchafu usajili wa Ajib SA.
Ni kama vile kuguswa na jani nakushtuka kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka unaweza kusema hivyo hii ni baada ya uongozi wa klabu ya Simba kutamka kuwa hawatambui safari ya mshambuliaji wao kinda Ajib kwenda kwenye majaribio nchini Afrika kusini baada.