Tenisi walemavu Tanzania kuelekea Kenya kesho Timu ya Taifa ya Tenisi walemavu inatarajia kuondoka kesho kuelekea nchini Kenya kushiriki mashindano ya wazi ya mchezo huo yatakayoanza kutimua vumbi June 17 mwaka huu. Read more about Tenisi walemavu Tanzania kuelekea Kenya kesho