Serikali kuunda sheria kudhibiti huduma za kifedha

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Ashantu Kijaji.

Kutokana kuwepo kwa taasisi nyingi za kifedha ambazo nyingine hazifuati taratibu na kusumbua wananchi wanaohifadhi fedha serikali imesema inaandaa sera ya taifa ya huduma ndogo ya fedha ya mwaka 2016.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS