Mawakala wa pembejeo korosho wapewa onyo

Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego.

Mawakala wa ugawaji wa pembejeo za zao la korosho nchini wametakiwa kutenda haki kwa wakulima na kuacha kufanya kazi hiyo kwa ajili ya masilahi yao na watakaefanya hivyo serikali itawachukulia hatua kali ikiwemo kuwafilisi mali zao na kuwafunga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS