Makalla awajia juu waliogawa ardhi uwanja wa Ndege

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla, amesitisha shughuli zote za kibinadamu zinazofanywa na watu wachache walivamia uwanja wa zamani wa ndege wa Mbeya uliopo katika ya jiji la Mbeya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS