Mashali atamba kumchapa Muiran jumamosi Bondia wa Tanzania Thomas Mashali amesema kuwa atamtwanga Bondia Sajjad Mehrab wa Iran kwenye pambano la ubingwa wa dunia raundi 12, Mei 14 jumamosi hii kwenye uwanja wa ndani wa Taifa. Read more about Mashali atamba kumchapa Muiran jumamosi