Leicester City kuteta na Ranieri mkataba mpya Mabingwa wa Ligi Kuu ya Soka nchini Uingereza, Leicester City wanataraji kufanya mazungumzo na kocha wao Claudio Ranieri kuhusu mkataba mpya mwishoni mwa msimu huu. Read more about Leicester City kuteta na Ranieri mkataba mpya