FIFA yaisimamisha Benin kwenye mashindano Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeisimamisha nchi ya Benin kwenye mashindano yake baada ya Mahakama kuzuia uchaguzi wa Shirikisho la Soka la nchi hiyo (FBF). Read more about FIFA yaisimamisha Benin kwenye mashindano