Mwijage aamuru kiwanda cha ngozi kufunguliwa
Waziri wa Viwanda na Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, ameutaka umoja wa wanunuzi na uboreshaji ngozi, nchini (WANGOTA), kukaa meza moja na wamiliki wa viwanda ili kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazoikabili sekta hiyo.