Hustle zangu zimenifanya nisaidie wengine - Dimpoz Msanii Ommy Dimpoz ambaye anamiliki lebo ya muziki ya Poz kwa Poz (PKP) amesema magumu na changamoto alizozipitia wakati anaanza muziki, ndizo zimemfanya achukue uamuzi wa kusaidia wengine. Read more about Hustle zangu zimenifanya nisaidie wengine - Dimpoz