Tumepunguza mesji za "Tuma kwa namba hii"

"Sisi kama Serikali tumeshachukua hatua kali kupitia TCRA na utakuwa pia shahidi kuwa wimbi la meseji limepungua kwa kiasi fulani, ilikuwa balaa zaidi ya ambavyo ipo sasa TCRA inaendelea na namna mbali mbali ya kuhakikisha inadhibiti hizi laini ambazo zimepatikana kwa njia zisizo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS