Serikali kuvuna bilioni 24 kupitia bahati nasibu

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Bw. Abbas Tarimba

Serikali ya Tanzania itarajie kupata mapato ya shilingi bilioni 24 yatakayokusanywa kama kodi kutokanana bahati nasibu ya taifa itakayoanza hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS