Serikali yaanzisha program ya kuwakomboa vijana
Serikali imesema kupitia wadau mbalimbali wameanzisha programu maalum ya kuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi kwa kuweza kuwasaidia kupata fursa ya mitaji na mikopo ili kufanya shughuli mbalimbali za kujiingizia kipato.