Maafisa tarafa watakiwa kuhakiki watumishi hewa
Mkuu wa mkoa wa Songwe, Luten Mstaafu Chiku Galawa, amewaagiza Maafisa Tarafa kushiriki katika zoezi la uhakiki wa watumishi katika halmashauri za mkoani humo ili kuwezesha shughuli hiyo kuwa na tija zaidi.