UNHCR yatia shaka kufungwa kambi za wakimbizi

Moja kati ya kambi za wakimbizi zinazopatikana nchini Kenya.

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), limeeleza wasiwasi wake mkubwa, kuhusu uamuzi ulioripotiwa kutolewa na serikali ya Kenya Ijumaa wiki iliyopita, wa kufunga kambi za wakimbizi nchini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS