Madeni yalikwamisha miradi kukamilika-Mhe. Jaffo

Naibu waziri wa TAMISEMI, Mhe Suleiman Jaffo.

Serikali imesema kuwa tatizo la maji limeendelea kuwepo nchini kutokana na miradi mingi ya maji kutokamilika kwa wakati kutokana na serikali kudaiwa na wakandarasi wa miradi hiyo ambao wengi wao walisitisha ujenzi wa miradi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS