Washiriki DSE Scholar Challenge wazidi kuongezeka
Idadi ya wanafunzi wanaoshiriki shindano linalolenga kuongeza uelewa wa uwekezaji katika masoko ya mitaji na dhamana nchini imekuwa ikiongezea kwa kasi ambapo hadi sasa jumla ya wanafunzi 3,160 wameajiandikisha kushiriki.