Serikali kujenga kituo cha michezo Manyara Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye amesema serikali itajenga kituo cha michezo katika Mkoa wa Manyara ili kuacha kutumia kituo cha hifadhi ya mbuga ya Tarangire Mkoani humo. Read more about Serikali kujenga kituo cha michezo Manyara