Wadau washauriwa kuwekeza maeneo ya Utalii Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji (TAJATI) Ulimboka Mwakilili. Wadau nchini wameashauriwa kuwekeza katika Maporomoko ya Mto Luhuji yaliyopo mjini Njombe ili kuwezesha eneo hilo kuwa kivutio cha utalii. Read more about Wadau washauriwa kuwekeza maeneo ya Utalii