Tutarudi bungeni ila msimamo wetu ni ule ule-Mdee
Wanawake wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamesema kuwa licha ya kesho kurejea katika vikao vya bunge baada ya kususia ila msimamo wao wa kujiondoa katika umoja wabunge wanawake upo pale pale.