Wanaotaka kujishughulisha na siasa wajipime kwanza
Vijana nchini Tanzania wanaotaka kujishughulisha na masuala ya kisiasa wameshauriwa kuzingatia masuala matatu ambayo ndio yatakuwa nguzo kuu kwao na yatawasaidia katika kuijua Demokrasia katika siasa.