Utumbuaji majipu siyo ukatili- Rais Dkt. Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema hatua anazochukua kwa ajili ya kuwasimamisha watumishi wa umma kazi zisitafsiriwe kama ni ukatili kwakuwa watumishi hao wamekuwa wakifanya mambo kinyume na maadili ya utumishi wa umma