Serikali yafunga akaunti zake benki za biashara
Mashirika na Taasisi zote za Serikali zimetii agizo la serikali la kufunga akaunti zake katika benki za kibiashara na kuhamisha fedha zilizopo kwenye akaunti hizo kwenda akaunti walizoamriwa kufungua kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BOT).