Ole wao watakao waozesha wanafunzi - Manyanya

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Technolojia na Ufundi Injinia Stella Manyanya amesema kwamba wananchi wote watakao waozesha wanafunzi serikali ya awamu ya tano itawachukulia hatua kali za kisheria mara moja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS