Washauriwa kuunda vikundi shirikishi Mvomero
Serikali wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro imewataka wananchi kuunda vikundi shirikishi ili kusaidia kuondokana na migogoro inayoibuka baina ya wakulima na wafugaji kufuatia kudaiwa wafugaji kuruhusu mifugo yao kuingia katika mashamba ya wakulima.