Everton yatia chachandu ubingwa wa Leicester City

Klabu ya Everton hii leo imenogesha sherehe za ubingwa wa ligi kuu ya England kwa Leiceister City, baada ya kukubali kupokea kipigo cha mabao 3-1 katika dimba la King Power kutoka kwa mabingwa hao wapya wa EPL.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS