Coastal Union yaaga ligi kuu, yashuka daraja Klabu ya Coasta Union ya jijini Tanga itahitaji miujiza pekee ili iweze kubaki katika ligi kuu ya Tanzania Bara msimu ujao kutokana na hesabu kuonesha kuwa tayari timu hiyo imeshuka daraja. Read more about Coastal Union yaaga ligi kuu, yashuka daraja