Busungu na Telela wavaa viatu vya Wazimbabwe Yanga

Wachezaji wa Yanga Salum Telela [kushoto] na Malimi Busungu [kulia]

Kocha wa Yanga, Mholanzi Hans Van Der Pluijm amewaanzisha kwa pamoja washambuliaji Malimi Busungu na Amissi Tambwe kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika dhidi ya Esperanca.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS