Wagonjwa elfu 38 wa saratani hugundulika kwa mwaka

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Ocean Road, Julius Mwaiselage

Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaiselage amesema takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha kuwa Tanzania nzima kwa mwaka kunakuwa na wagonjwa elfu 38 wa saratani na wagonjwa elfu 35 wanafariki dunia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS