Ukimwi uongoza kuua vijana wenye miaka 15-24
Ugonjwa wa Ukimwi ni sababu ya kwanza inayopelekea vifo vya vijana wengi barani Afrika wenye umri wa kuanzia miaka 15 mpaka 24 wengi wao wakiwa ni wasichana jambo ambalo linazidi kuwafanya wadau wakupambana na ugonjwa huo kutumia mbinu mbalimbali.