"Sijatoka Endless Fame" - Mirror Msanii Mirror ambaye yuko chini ya Endless Fame amekanusha taarifa za kutoka kwenye kampuni hiyo ambayo inamsimamia kwenye kazi zake, baada ya tetesi kuwa hayupo tena. Read more about "Sijatoka Endless Fame" - Mirror