Mbeya City yanogewa, yataka pointi kwa Coastal

Mwenyekiti wa Timu ya Mbeya City FC Mussa Mapunda amelipongeza Shirikisho la Soka nchini (TFF) kwa hatua yake ya kuipoka pointi 3 timu ya Azam FC na kuziweka kwa timu yake kufuatia makosa yaliyofanywa na timu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS