Simba kushushwa daraja kwa kupuuza agizo la FIFA

Donald Musoti, Beki za zamani wa Simba

Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), limeipiga faini ya Franc 2,000 za Uswisi (Sh 4,582,000 za Tanzania), Klabu ya Simba baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kupuuza maagizo ya Idara ya Utatuzi wa Migogoro (Desputes Resolution Chamber) ya FIFA.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS