Mbeya City yadai pia pointi za Coastal Union
Klabu ya Mbeya City imeishukuru TFF kwa kuipa pointi 3 kutoka kwa Azam FC, lakini bado imedai kupewa ushindi katika mchezo wao dhidi ya Coastal Union kutokana na vurugu zilizotokea katika uwanja wa Mkwakwani Tanga.