Liverpool yatinga fainali ligi ya Uropa Meneja wa Klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amefanikiwa kuifikisha Liverpool katika hatua ya fainali ya ligi ya Uropa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Villarreal. Read more about Liverpool yatinga fainali ligi ya Uropa