Tatizo la ubakaji na ulawiti lipo pabaya-Mwakyembe

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Harrison Mwakyembe

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Harrison Mwakyembe, amesema kuwa tatizo la ubakaji na ulawiti nchini Tanzania limefikia pabaya baada ya takwimu kuonyesha kuwa kwa kipindi miaka mitatu mfululizo kuna matukio 19 ya ubakaji na ulawiti nchini kila siku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS