Serikali kutoa taarifa vifo vitokanavyo na uzazi

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema inakusudia kutoa taarifa ya wanawake wanaofariki Dunia kutokana na matatizo ya uzazi kila baada ya miezi mitatu ili kukabiliana na tatizo la vifo vya wanawake nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS