Wazazi wengi wanaogopa kuwapatia watoto chanjo

Mtoto akipatiwa matone ya Chanjo

Imebainika kuwa wazazi wengi bado wanaogopa kuwapeleka watoto kwenye vituo vya Afya na hospitali kupatiwa chanjo ya kinga kwa magonjwa wakihofia chanjo husababisha vifo nabadala yakehukimbilia kwa waganga wa kienyeji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS